Nilikuwa ndo naanza kujua kusoma ,magazeti haya nilikuwa nasoma kwa sauti kubwa sana ili tu nionekane najua kusoma .Je ulikuwa wapi?View attachment 1510830
Dah! wakati huo ndiyo kwanza nilikuwa nimepata matokeo ya mtihani wangu na nilitakiwa kujiandaa kuingia chuo mwezi Septemba. Kweli siku hazigandi!...Je ulikuwa wapi?View attachment 1510830
Duh.. Kumbe mdingi mkuu!Dah! wakati huo ndiyo kwanza nilikuwa nimepata matokeo ya mtihani wangu na nilitakiwa kujiandaa kuingia chuo mwezi Septemba. Kweli siku hazigandi!...
Kiwanja kilikuwa nje ya mji lakini kinabamba hatari, enzi za utoto wangu sisahau makondeko na agip motelWapi makondeko enzi hizo
Nimekula chumvi kiasi chake...Duh.. Kumbe mdingi mkuu!
watu mnajua kutunza, hii ilikuwa ni miaka ya neema kila idara. maisha yalikuwa mema kuliko. na kwenye burudani ndio usiseme maana dsm ilikuwa inawaka moto. kila BAND IKIJINASIBISHA KWA TONE YAKE , ukisikia ALA YAO TU UNAJUA KUWA HII NI BAND GANI..............!! wakati ni moshi ukitoka haurudi tena.Je ulikuwa wapi?View attachment 1510830