matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,367
HAHAHANamkumbuka Bashite alivyokuwa anam command Yondani hasistaafu.
'' mimi mkubwa sanaa''.Loha.
Ana mikwara hatari. Zaidi ya kufyatua risasi hakuna analolijua kujidifend. Hata mbio Hana'' mimi mkubwa sanaa''.
Ila jamaa lioga hilo likibanwa mwishoni.
linakimbizwa kama mbwa koko. ila likiwa katika enzi yake linatisha kama simbaAna mikwara hatari. Zaidi ya kufyatua risasi hakuna analolijua kujidifend. Hata mbio Hana
Kubwa la maadui katika sinema za kihindi long time sana
hatariiKubwa la maadui katika sinema za kihindi long time sana
Avalon ,Empire ,Odeon ,Empress, Drive in,Cameo tulifaidi sana