Unakumbuka nini ukiona hii picha ?

Walamba asali. Hakuna mtu alinihamasisha kusomea uchumi kama Lipumba tena kipindi niko kidato miaka hiyo ya 2010 kurudi nyuma.

Bora hata sikusoma aseeh.
 
wakati amabpo chadema ilikuwa ni defacto a Christian party vs cuf islamic, chadema ikapoteza momentum, cuf ikarithiwa na act ambapo bado (cuf) ni islamic ...
 
Kibaya zaidi hamna mlichojifunza mpaka dakika hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…