Huu ni wimbo wa siku nyingi kidogo,
ila nauhakika hapa kuna wengi walikuwa wakiupenda,
na pia kuna mengi ya zamani utakukumbusha. View attachment WIFI ZANGU.mp3
Kwa mtu kama mimi wimbo huu unanipeleka mbali zaidi yenu wengi!
Kuna mambo ambayo niliyafanya kipindi hiki ambayo hadi dakika hii bado nasikia mwangwi wake!..Ilikuwa miaka ya 1988/89, kipindi hicho niko Dodoma.
Anyway, ndo maisha haya!
inanikumbusha mziki ulotimia kuanzia ;waimbaji,vyombo na rythim ya mziki wenyewe.
Kwani kwa sasa baadhi ya vyombo hawavitumii tena na hivyo utamu wake unapungua.