Unakumbuka MAJAMBO kiboko ya Vikojozi mtaani?

hahaha nakumbuka nami kuambiwa kwamba jamaa alikuwa usalama wa Taifa..wengine wakawa wanadai ni tajiri kinoma sijui ana nyumba ngapi mjini
Yaah! Nakumbuka hilo swala la utajiri. Wa makamu walikuwa wanatuambia "msimdharau huyu mzee, ana nyumba kibao". Si unajuwa mentality aliyotupa Mchonga!!!! Nyumba ndiyo mpango mzima. Basi mtu unapata inspiration flani hivi mixer flag kwa Majambo, unatamani na wewe uuze karanga upate nyumba. Those days bwana!!!! Those days watoto wengi walikuwa na matovu makubwa. Lakini sikuhizi siwaoni watoto wenye vitovu vikubwa. Halafu Majambo alikuwa story ya jiji, coz kipindi kile uko kwenye Ikarus (mtu ataulizi andiyo nini hiyo) kitu nyomi, kuchungulia dirishani unamuona Majambo yule anakula Morogoro road. Probably coverage yake ilikuwa si ya kitoto. Lakini nashangaa watu kibao humu kama vile kitu cha mkunga....halafu reli ya kati......hahahahaaa!!!!
 
Hahaha umenikumbusha mbali ..du mi ekarus nilikuwa naliogopa hasa niambiwa sogea mbele yaani kupita pale kati penye maunganisho nilikuwa najishikilia kila mahali..ndo maana hadi leo naweza ota ndoto niko kwenye ekarus nikiamka jasho linanitoka hahahahahah...loh na vitovu vikubwa nakumbuka jirani yangu alikuwa nacho mkicheza tumbo wazi unakingalia kipembeni....nw ni bonge la sista duu sijui bado anacho au kiliisha?
 
hahhahahaha mmenikumbusha mbali sana. Mimi nilikuwa naishi gerezani railways quaters, basi mdogo wangu wa kike yeye kauwa kikojozi lakini akisikia zile nyanga za Mzee Majambo nje nje nje ilikuwa hatari mtoto analia mpaka bi mkubwa anagomba. sasa nikawa nachukua kioo na msumari na mimi nagonga nje nje nje mama yangu balaa lake hapo sikusimuliiiii. sasa yuko TPA. nikimkumbusha huwa tunacheka huku tunagongeana cheers ya kufa mtu. I love you my sister.
 
Du mshkaji alikuwa anafika hadi gerezani?
 
hivi mnamkumbuka muuza karanga maarufu kiboko ya vikojozi wengi mitaani Majambo?yaani nakumbuka mdogo wangu mkimwambia majambo huyooo atajifungia kabisa chumbani kwa kilio na kutetemeka

Acha kupost ukiwa umekula sembe,sa mimi mtu nnaeishi huku Ukukuana majambo ntamjulia wapi?
 
Ndo utupishe wenyewe wajanja wa mjini tujimwae mwae sio post zote zinawahusu nanyi wa huko Gezaulole jamani
 
sana tena every weekend kama sio jumamosi basi jumapili lazima apite. we ulikuwa unaishi wapi kiongozi kwani?
 
Hahahaha nilikaa magomeni mikumi,then kuna aunt yangu alikuwa anakaa knyama tukienda likizo anapita pia..family friend wetu alikuwa anakaa kinondni sijui mwananyamala pia alikuwa anapiata

Uliwahi kumjua sambusa nyama?
alikuwa na kibaiskeli anapita anaimba 'sambuusa nyaama' aah.
 
Namkumbuka sana huyo mzee, Dar nzima alikuwa anafahamika. Mtaa gani hajakatiza Majambo

angalia nguo zake sasa alizokuwa anavaa, ukinunua karanga lakina akuuimbie na kucheza. Na ufupi ule sasa

Sio bure yule mzee alikuwa na lake jembo
 
Mkuu uliwahi kaa maeneo ya Mabibo, Mburahati,Manzese,Sinza,Mwananyamala au Magomeni,alikuwa akipita sana maeneo hayo!

hivi mnamkumbuka muuza karanga maarufu kiboko ya vikojozi wengi mitaani Majambo?yaani nakumbuka mdogo wangu mkimwambia majambo huyooo atajifungia kabisa chumbani kwa kilio na kutetemeka
 
acha uongo wewe majambo mpaka 90 anakatiza magomeni na likofia lake kama pama ila limeshonwa kama na mkeka hivi huku akipiga manyanga kama unayajua
 
Back
Top Bottom