Boss ,yule mzee alikuwa anatembea bwana na karanga zake nasisitiza yule mzee alikuwa anatembea na alikuwa entertainer mzuri tu pamoja na mpiga zeze mmoja bosco kanyau!we uliishi mitaa ipi?
unazungumza as if watu wote humu waliishi mitaa ya kwenu
mi namjua mzee majambo but wengi humu hawamjui
Dah!! Umenikumbusha mbali sanahivi mnamkumbuka muuza karanga maarufu kiboko ya vikojozi wengi mitaani Majambo?yaani nakumbuka mdogo wangu mkimwambia majambo huyooo atajifungia kabisa chumbani kwa kilio na kutetemeka
hivi mnamkumbuka muuza karanga maarufu kiboko ya vikojozi wengi mitaani Majambo?yaani nakumbuka mdogo wangu mkimwambia majambo huyooo atajifungia kabisa chumbani kwa kilio na kutetemeka
We ni short sighted, mambo ya mtaani kwenu ndio unaleta hapa? Majambo ni kitu ghani?
hapana ... sema muda huo ulikuwa kiunini kwa babako, mzee alikuwa wa kino nzima....
Kino ni wapi? Kabanga nawe kwani tanzania yote ni Dar?
Me mbona simfahamu na nimezaliwa dar
Haa kwa jinsi unavyokumbuka mambo ya zamani..mbona hatari.hivi mnamkumbuka muuza karanga maarufu kiboko ya vikojozi wengi mitaani Majambo?yaani nakumbuka mdogo wangu mkimwambia majambo huyooo atajifungia kabisa chumbani kwa kilio na kutetemeka
we uliishi mitaa ipi?
unazungumza as if watu wote humu waliishi mitaa ya kwenu
mi namjua mzee majambo but wengi humu hawamjui
Me mbona simfahamu na nimezaliwa dar
hahaha nakumbuka nami kuambiwa kwamba jamaa alikuwa usalama wa Taifa..wengine wakawa wanadai ni tajiri kinoma sijui ana nyumba ngapi mjiniDah!! Umenikumbusha mbali sana
mkuu. Miaka ile nipo mitaa ya Kino, ilikuwa akitokea Mwananyamala lazima apite Kino then anashuka zake Migomigo. Unanunuwa karanga halafu anacheza ngoma. Mara baadae nikaanza kusikia, ooh! huyu mzee usalama wa taifa. Si unajua kipindi kile. Kipindi hicho Dar tuko pekeyetu, kabla mamluki hawajafika. Ilikuwa safi sana.
We ni short sighted, mambo ya mtaani kwenu ndio unaleta hapa? Majambo ni kitu ghani?
Kino ni wapi? Kabanga nawe kwani tanzania yote ni Dar?
Yaah! Nakumbuka hilo swala la utajiri. Wa makamu walikuwa wanatuambia "msimdharau huyu mzee, ana nyumba kibao". Si unajuwa mentality aliyotupa Mchonga!!!! Nyumba ndiyo mpango mzima. Basi mtu unapata inspiration flani hivi mixer flag kwa Majambo, unatamani na wewe uuze karanga upate nyumba. Those days bwana!!!! Those days watoto wengi walikuwa na matovu makubwa. Lakini sikuhizi siwaoni watoto wenye vitovu vikubwa. Halafu Majambo alikuwa story ya jiji, coz kipindi kile uko kwenye Ikarus (mtu ataulizi ndiyo nini hiyo) kitu nyomi, kuchungulia dirishani unamuona Majambo yuleee anakula Morogoro road kwa ngondi. Probably coverage yake ilikuwa si ya kitoto. Lakini nashangaa watu kibao humu kama vile kitu cha mkunga....halafu reli ya kati niniii......hahahahaaa!!!!hahaha nakumbuka nami kuambiwa kwamba jamaa alikuwa usalama wa Taifa..wengine wakawa wanadai ni tajiri kinoma sijui ana nyumba ngapi mjini