Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Kwakweli bahari imetulia kwa ss na life Lina move on, imagine Sasa hivi maji napelekewa bafuni bila kuulizwa, mbususu napewa 24/7.

Yaani kiufupi amejirudi na amekuwa mpole balaa, sema nn ajiandae kulea ka halfcast kangu ambako kapo on the way
Hahahah kumbe ulikuwa hujapiga goli ata moko.
 
Kwakweli bahari imetulia kwa ss na life Lina move on, imagine Sasa hivi maji napelekewa bafuni bila kuulizwa, mbususu napewa 24/7.

Yaani kiufupi amejirudi na amekuwa mpole balaa, sema nn ajiandae kulea ka halfcast kangu ambako kapo on the way
Yani half cast ni dili unavoona? Full cast ni chini ya half cast au? Ndio maana wazungu na ngozi nyeupe inatutawala mpaka kiama. Hatujiamini na hatujipendi.
 
Alikuwa anaongea na simu huku akifoka.. nikamuuliza vipi mama unaongea na nani mbona unamfokea ivo akaniambia ni mtu wangu wa zamani bado ananililia lia hapa.. nikasema duu.. akajibu..

" wakati wake ulishapita , sahizi ni wakati wako bhana, ukitoka wewe utakuja wakati wa mwingine pia , ndo maisha yenyewe"..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka
Huyo demu ni mkaksi balaa🤣🤣🤣🤣
 
Huu uzi umenifurahisha kwakweli🤣🤣🤣🤣
Poleni wote mliopigwa na majibu mazito
Wanawake tuna nafasi yetu special mbinguni!
 
" Aisse, mama pendo na mme wake ndio wanakula laifu, sisi wengine ni wasindikizaji tu " Hilo nilirushiwa na bidada kipindi ndio Kwanza tuna anza anza maisha...!!! sikumsemesha kwa pale, ila siku ya pili katoka kwenye mishe zake akakuta kitasa kipya, aliponipigia simu nikamwambia atizame kwenye simu nimemtumia hela ya nauli ya kwao, na mabegi nimeshayatanguliza na basi. Kisha nikabadilisha laini na kuhama mtaa kwa miezi minne. Nilipomrudisha na kumueleza kosa lake, alibaki anashangaa tu, ila ninaishi nae mpaka sasa, watoto 3, nikikohoa tu, anaruka, Na akitaka kuongea anaomba ruhusa, Kisha anaongea taratibu kwa kuchagua maneno... !!!!

Hapa ulikuwa Ushamuona Kanisani/Msikitini?

Wazazi wake walilipokeaje hili swala?

Waliwaita Kikao au ?

Move Nzuri sana ulifanya
 
Back
Top Bottom