Unakubaliana na mimi??

yaaa kwa hpo sibishi
in real love tumewazid ila nyie kwa michepuko oooo kuna baadhi mpo juu
sidhani kama kuna mwanaume anachepuka bila ya sababu kuna sababu zinatufanya tuchepuke.cha kufanya nyie inabidi mjiangalie wapi mnapokosea ili umlinde mwanaume wako asichepuke.
 
mkuu usisahau pia kwamba kama hoja ni kushiriki sana kwenye jukwaa mmu kuliko la michezo jukwaa la mmu lina kitu cha ziada na pia inajumuisha urafiki ndani yake so unaweza ukawa katika mmu unashiriki na kucoment kwa kudumisha urafiki chatting ya mmu haiwezi ikawa sawa na chatting ya jukwaa la sports ama majukwaa mengine kama la siasa kule kunaambatana sana facts ila huku urafiki una matter kwa kiwango chake.na kwa mujibu wa hii post area yangu uliyoiweka jukwaa la technolojia ndo linafuata baada ya mmu na sio jukwaa la sports(mpira) what im trying to say hapa ni kwamba ingawaje pia tecnological issue zina matter sana kwangu ila sio sawa kama ilivyo mpira(michezo) coz nina shiriki direct kwenye kucheza na hata kutazama
 
Teh Teh Teh Teh
 
Teh Teh Teh Teh
jana najua nyie hamkuwa upande wetu katika game na mabingwa so nasikitika kusema kwamba na sisi leo hatutakuwa wanafiki tupo straight and clear we are against you na tunawaomba matoke mabaya na kila jengine la shari kwa pamoja tuseme ameen.
 
Mkuu sio hivyo! Msimamo wng kwa man utd naiombea ichukue UCL cup angalau next season tuwe wote na ata ktk thread za mpira Man Utd utakuta hoja juu ya uefa nimewatakia Heri!

Kwahiyo kwa mimi ni bora sn Man Utd isonge mbele kuliko Munich!
 
ahsante kama unatuombea heri tupo pamoja katika hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…