Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
- Thread starter
-
- #21
observation tu kwenye maisha yetu ya kila siku to be honest sijakusanya data not even from a single person.bt i did everythng possible to go aganist my wishfull thinking and being driven by emotionSawa umeweka ulichoamua kukiweka, sasa twambie hiyo conclusion yako imedraw kutoka kwenye data ulizozikusanya mtindo gani? Hebu twambie hilo basi.
Tiba
even me sasa mpira umekuwa ni part of our lives kabisa wapo ambao wakifungwa basi na siku nzima imeharibika,na wengine hata hupigana na wegine eti mpk hujiua so kwa mtu kama huyo mpira ni kila kitu kwake,thats y nimeipa asilimia 30Mkuu Mndengereko ktk mpira Mimi hapo umenipata kabisa!
chelsea damu huyoWewe team gani?
Siku hizi kuna breed mpya ya wanaume. Mimbeaaaa!! Hizi data zako ni za mwaka gani kissing mate?
hiyo inaingia kwenye mengineyo to be honest wanawake sio wengi ama wanaojihusisha na netball au wanaoshiriki kwenye kuucheza naamini hata kwako pia lipo hilo swala,ila kwetu sisi mpira basi tusipoucheza basi tutaufuatilia hata ukionyeshwa saa 8 ya usiku tutaamaka kuungaliaYeah! nakubaliana na wewe, ila hapo kwenye mpira hapo... interest zipo sawa na sisi ungetuwekea Netball au rede
yah nalijua hilo ila idadi yao ndogo ya wasiopenda inamezwa na idadi kubwa ya wanaopenda.Kuna wanaume hawapend mpira at all
Mambo ya Mungu vp Mkuu?
Hujaeka PESA!!!
yah nakubaliana na wewe
Ukweli mtupu hujakosea.
Mkuu, nakubaliana na wewe, na hapo kwenye umbea sijui umewapendelea? Au iyo chart ni ndogo sana...
mbona graph ipo invesrsely aisee..View attachment 148637 View attachment 148638
View attachment 148639
unakubaliana na mimi ??? utofauti katika maisha yetu ya kila siku kati ya wanawake na wanaume na jinsi tunavyoya prioritize mambo yetu!!,nini maoni yako? wapi nimezidisha na wapi nimepunguza,karibuni.
cc : Tized utafiti Zinduna Karucee Heaven on Earth miss chagga Mokoyo Mr Rocky Ntuzu miss neddy Excel kabanga ICHANA Vaislay Kim nana na wengineo
unataka kusema asilimia 30% nilizowapa ni ndogo sana.?
so tunakubaliana kwenye mapenzii mmetuzidi.kwenye caring na makila kitu mengine
ni kweli mkuu.. nakuunga mkono wewe pamoja na hoja uliyoileta!!!
ntarudi kwa maelezo zaidi...