Unakipaji gani?


Kutongoza vyema na kutokataliwa pale nikiwa sina Hela kabisa na Warembo ambao huwa nabahatika kukutana nao mitaani.
 
Time hii nikicheki bado HAM boy nauma
Nawashtukiza nawaumiza mpaka wanakwenda trauma
Na wakigusa bado mbish naendelea kunguruma
Wamepanda upepo sasa wasikilize ninavyovuma........

Wengine wanasema nina kipaji cha kuandika mashairi, mbali na kazi yangu wengine wanasema nina kipaji cha kufundisha, hiki kingine sijui ni kipaji ama vipi! Ila wanasema nina uwezo wa kuzungumza na kufanya watu wanielewe.

Ila binafsi ukiniuliza sijui nina kipaji gani.
 
Amen amen amen.
nina swali mkuu! uwezo mkubwa wa kukariri ni kipaji?
Yeah! good yaani hapomwana mkuu baba, usiache ng'ang'nia, usidharau hiyo ni unique talent,wanazo wacahache.wote tuliosoma tulikariri sana tu then tukajifanya tumeelewa,mfano Daktari anakariri sana vitu kama mifupa ya mwanadamu,kwenye kiganja tu kuna mifupa kama 20 hivi, na ni majina ya marehemu wavumbuzi wazungu..asikudanganye mtu.eti unakariri tu kama kasuku never ever,kadri utakavyo practice uliyo kariri,ndo unaelewa zaidi ulichokariri mwanzoni.Nakupa mfano huu tulikariri sana vifungu vya Biblia wakati tuko wadogo hata maneno yenyewe hatukuyatilia maanani saana kama watu wazima walivokuwa wanayachukulia.lakini baadaye vile vifungu vilitusaida sana kujua neno la Mungu kwa marefu na mapana,ukubwani.ivo basi Practice makes perfect keep it up.you gonna see the way.
 
Nimekuelewa vzr mkuu na nimeuliza hivyo sababu nikiwa mdg(under 10 yrs) nikiwa Sunday school tulipewa vifungu tofauti ili kuvikariri lkn pia kuichambua biblia ili kujiandaa na mashindano ngazi ya mkoa,nilifanya wonders lkn pia kila j2 tulikuwa tunapewa zab 1 kuikariri ili next sunday unaesema mbele ya wazazi,kwng ilikuwa tofaut kdg,niliweza kukariri zab 2 na kila mtu alinishangaa.
Nikiwa Alvl tulienda kwny easter conferenc na hapo tulifanya mashindano tofauti kwa upande wangu niliiwakilisha shule wangu kwny Mtihan wa biblia na hapo tulitakiwa kumeza Samwel wa kwanza yote then tupewe mtihani..nilimeza mkui ilifika point niliweza kusummarize hicho kitabu na ktk yale mashindano nilipata 98% na wa pili alipata 78% niliongoza kimkoa .
Nikiwa form 6 nilitakiwa kuuwakilisha mkoa lvl ya taifa bahato mbaya mwaka wetu utarabt ulibadilika ,tulifanya Necta Mwezi May na Easter ilikuwa Mwezi april,nilishindwa.Lkn niliamini ningeongiza tena.

Nikiwa chuo kusema kweli ufaulu wangu ulitegemea sana kukariri na hata wenzangu walinitegemea sn ktk presentation..."Hii sehemu tumuite Jack"
 
😂😂 mimi ni mgonjwa wa hesabu,yaani hesabu hesabu hakuna kitu nilikuwa najua,ilinibidi wakt mwngn nikariri njia mpk jibu nikihisi hili swali mwal atalirudia
 
Mm najiona nipo tu sijui ata nna kipaji gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli hiki ni kipaji, kwangu viceversa is true.
 
i

basi utakuwa unajua sana hesabu
kiasi chake, hadi leo hakuna hata kifungu cha biblia nilichokariri mbali nakuwa huwa naisoma soma,
wakati nipo high school na o-level mtihani ukikaribia naacha kusoma kabisa, maana ntafanya madudu, sikuwa mzuri kutunza nilichokariri muda mfupi ulopita.
Ili nifanye jambo kwa uzuri, naperuzi mapema zaidi, na hata interview nikijiandaa naenda kuboronga, connection ya mawazo( fikra) na nilichokariri inakosekana.
 
duuu! Mungu ana maajabu yake..humpa kila mtu kile apendacho yy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…