Unakipaji gani?

Unakipaji gani?

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Ukiachana na mambo tuliyo bobea baada ya kufundishwa kila mtu anakipaji chake alicho zaliwa nacho, mwengine vipaji vyao wanavijua mwengine mpaka sasa hajui ana kipaji ngani

Mimi kipaji changu ni uchoraji nilijikuta najua kuchora tokea nikiwa mdogo sema sikukiendeleza sasa hivi naona kinafifia fifia kidogo lakini bado kipo

Kama mnajua kipaji chako tuambie ni kipi unaweza ukampata mtu mnaoendanda

Kumbuka: Kipaji sio ujuzi(skills) hata mtu anaejua kuandika code sana hicho sio kipaji alijifunza au labda amezaliwa anajua Java na c shap ndo kitakua kipaji.

Pia kama huna kipaji nakupa pole, au ulikua nacho kikapotea embu tuambie
 
Mbali na taaluma "ZANGU" na UTUNDU wa kusoma vitabu vyovyote vinavyo zagaa mbele yangu. Nina umri wa miaka 26, na nina "KIPAJI" cha kuchora kwa kutumia Pencils, Rangi za Mafuta, Rangi za Maji (Sina utaalamu hapa sana, ni kina kirefu kwenye sanaa ya uchoraji) na Crayons.
 
Age ni 19.. Dhu sasa mm sijui hiki ni kapaji au uwezo tu wa mtu binafsi na uwezo mkubwa kiakili tu wa ku process information na kuchangauna mambo pia mm ni mchoraji, napenda kucheza draft na computer au wazee pia gemu la kupanga telse kwa maa napenda kutumia akili sependagi sana kujionyesha kama naweza napenda kuwa mpole watu wanione wakawaida sitakagi kujionyesha kama najua
Wewe uko kama mimi.
 
Nina kipaji cha kuimba.......kutengeneza mziki.....kupiga gita......kupiga kinandaa...

Believe guys.....hayo yote hakuna alie nifundisha......
Siku niliokutana na kinanda nikichezea chezea ndani wiki moja tu nikawa nakipiga hatari...

Waumini wenzangu mpka leo huwa wakikumbuka wanabaki wanadata nakijiuliza hivi mi mchawi how........yn within one week. Hata mim mwenyewe nilikua najishangaa

Gita nilipoamua kulishika ndani ya mwez mmoja nikawa naburuza nyuzi kama sina akili nzuri...yn kama ninauzoefu wa miaka 20 wa kulipiga.

Mpka leo watu wengine wameshaniweka kama mpiga gita wa ajabu kuwahi kumshuhudia kwenye maisha yao.

Music and evry thng about music is my talent
 
Back
Top Bottom