Mkuu GC unaikumbuka mechi ya fainali ya UCL ya mwaka 200 lakini kati ya Real madrid na Valencia pale Stade de France...Valencia alipata kipigo cha mbwa mwizi aisee,bao 3-0..Vikosi vya gemu hiyo vilikuwa hivi:
Real Madrid
1.Iker Casillas
2.Michel Salgado
3.Roberto Carlos
4.Aitor Karanka
5.Ivan Campo(manywele)
6.Ivan Helguera
7.Steve McManaman
8.Fernando Redondo(Nahodha)
9.Fernando Morientes
10.Raul Gonzalez
11.Nicolas Anelka
Valencia
1.Santiago Canizares
2.Jocelyn Angloma
3.Gerardo Garcia
4.Mauricio Pellegrino
5.Miroslav Ducik
6.Javier Farinos
7.Gaizka Mendieta(Nahodha)
8.Gerard Lopez
9.Miguel Angel Angulo
10.Claudio Lopez
11.Kily Gonzalez
Valencia walidebweda sana siku hiyo...Magoli ya vifaa Madrid yalifungwa na Morientes,McManaman na Raul
Mbona sioni jina la kiungo Pablo Aimar?
Huyo Redondo alikuwa balaa. Unakumbuka lile tobo alilompiga beki wa Man U? Ile mecho mashetani wekundi kamwe hawataisahau!
Hivi Deportivo La Coruna wamefilia wapi hawa??maana walikuwa na miiba kama akina Diego Tristan,Walter Pandian na Juan Fran,walikuwa wanatisha sana hawa jamaa aisee
Yep walikuwa noma kama Bayer Leverkusen ilivyokuwa enzi za kina Ballack na Ze Roberto!
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.
Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor Mahia toka Kenya.
Kikosi ambacho kilifuta uteja kwa wababe wao enzi hizo timu ya FC Leopard...
1) Dan Odhiambo
2) Thobias Ocholla ''jua kali''
3) Peter otieno ''Basanga''
4) John Bobby Ogolla
5) Austin Oduor
6) Abbas Khamis Magongo
7) John Okelo ''Zangi''
8) Sammy Owino ''Kempes''
9) William Ouma Chege
10) George Onyango ''Fundi''
11) Sammy Onyango ''Jogoo''
Sahihisho
Kama nipo sahihi zaidi,Gabriel Orang ndiye aliitwa Jua Kali kutokana na kipara chake kichwani
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.
Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor Mahia toka Kenya.
Kikosi ambacho kilifuta uteja kwa wababe wao enzi hizo timu ya FC Leopard...
1) Dan Odhiambo
2) Thobias Ocholla ''jua kali''
3) Peter otieno ''Basanga''
4) John Bobby Ogolla
5) Austin Oduor
6) Abbas Khamis Magongo
7) John Okelo ''Zangi''
8) Sammy Owino ''Kempes''
9) William Ouma Chege
10) George Onyango ''Fundi''
11) Sammy Onyango ''Jogoo''
hapo kumi na moja kuna Abdallah BurhaniHapa vipi napo?
1. Juma Pondamali "Mensah"
2. Mohamed Mkweche
3. Jaffar Abdulrahman
4. John Faya
5. Jellah Mtagwa
6. Mohamed Yahya "Tostao"
7. Godian Mapango
8. Hussein Ngulungu
9. Agustino Peter " Peter Tino"
10. Ibrahim Kiswabi
11. Juma Bomba
1.Giovanni Gali
2.Mauro Tassotti
3.Paolo Maldini
4.Alessandro Costacurta
5.Franco Baresi
6.Angelo Colombo
7.Carlo Ancelotti
8.Frank Rijkaard
9.Marco van Basten
10. Ruud Gullit
11.Alberigo Evani
Forza Barantanda
Sempre Barantanda