Unakaribishwa kuunda kabila jipya

Unakaribishwa kuunda kabila jipya

Ndo mambo ya kuingia msituni yanaanzaga hivi hivi .....
baadaye mtataka kuunda taifa jipya.......
baada ya hapo mtataka rais na serikali yenu na katiba yenu.....baadaye kinanuka .............

Kama upo akilini mwangu
 
Haya ni mwazo yakitoto, naona yanafanana na kina-kibwetele.
 
wazo zuri mkuu nawasilisha majina.
mama- nyoko (nimetohoa)

kaka-ngechesi

dada-banganyi
baba-nywisi

nyumba-ndisto

choo-bwiso
jiko-ndash
lugha lugha ni sauti za nasibu!. tuko pamoja sana banganyi na ngechesi wangu.
 
Makabila mbona nchi hii yapo mengi tu bado unataka kuzalisha mengine tu? Labda himiza viongozi wetu kuwa na uzalendo zaidi ili tusonge mbele. Badala ya kuongelea ukabila ongelea utaifa na uzalendo.
 
Back
Top Bottom