Yuko sawa. Hii inawafaa zaidi wale waluozaliwa kwenye muunganiko wa kabila nyingi. kwa mfano baba awe ni muungano wa kabila A na mama ni kabila B. Basi mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wa kabila AB. Huyu mtoto ambaye sasa ni wa kabila AB akioana na mwenzake wa kabila tuseme C kwa baba na tuseme D kwa mama basi mtoto hapa atakuwa ni kabila CD.
Sasa watoto hawa wa miungano wa kabila AB na CD wakioana watazaa mtoto wa kabila jipya la ABCD. Sasa huyu naye akikitana na wa namna hii wakazaa mtoto, aiasee hyu atakuwa ndiye anayefaa kuwa mteja wako wa kwanza.