

mkuu floppy ni mb 1.3 hivi...text onlyNakumbuka niliinunua ili nikaibe game kule computer room ya shule. Kuna game zuri linaitwa "pit fall" lilikuwa na MB 94 na hii floppy ilikuwa inabeba MB 5 (sikumbuki vizuri)
FaizaFoxy, computer yako stoo itakuwa kama hii. View attachment 256106