Unajua??

Owh...hata sikuwahi kujua tnx

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nilisha iona hiyo twitter kwenye handle ya Africanfactszone pamoja na ziwa lenye maji ya pink lilipo huko Senegal
 
Sanaa hii ina nafananisha na merging of oceans ile ya Northsea na baltic ocean zinapokutana na kila bahari kubaki na rangi yake.

Ni wapi vile hapa Tz kuna chemchem ya maji yamoto?
 
Ni wapi vile hapa Tz kuna chemchem ya maji yamoto?

Kuna Morogoro somewhere kisesa kama sikosei kwa wale wanaotumia Tazara wanapita maeneo hayo na treni na pia kwa wanaoenda Selous pia hutembelea huko mwaka juz Clouds fm walitembelea eneo hilo huko Morogoro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…