Unajua Wazungu wana akili sana!

Unajua Wazungu wana akili sana!

mjizu123

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
349
Reaction score
370
UNAJUA WAZUNGU WANA AKILI SANA DADEKI just imagene natoa elimu ya historia ya mtu mweusi alafu mtu mweusi ndo anakua wa kwanza kukataa na kujidharau na kusema mweusi hajui chochote zaidi ya kurogana wacha nikuambie Wazungu walicheza na falsafa ya TAKE THEIR BRAIN LEAVE THEIR BODI.

Yani walichokua wanafanya wazungu ni kumtandika BABA MBELE YA MKE NA WATOTO WAKE alafu kilicho fata hapo ni familia kumzalau baba na mke alianza kumuona mzungu ndo bwana mwenyewe ndivo wazungu walivyo wafanyia babu zetu.

Tatizo letu tunasoma sana habari za mapenzi kuriko historia yetu.

Africa tulikua vichwa broo acha ubishi mtu tajiri duniani kwa wakati woote ni mtu mweusi bwana MANSA MUSSA

ACHA UBISHI WA KIJINGA ETI UNAAMBIWA ZIWA VICTORIA LIMEGUNDULIWA NA MALKIA WA UK WAKATI BABU ZAKO NDO WALIKUA WANAFANYA SHUGHURI ZA UVUVI HAPO AU UNAAMBIWA MRIMA KIRIMANJARO UMEGUNDULIWA NA WAZUNGU WAKATI BABU ZAKO NDO WALIKUA WANAISHI HAPO NA WEWE ULIVYO BOGAZ UNAKUBALI

BROO NYIE MNAO ISHI DASRAMU MNAJUA KUA KUNA KITU KINAITWA MTUNGI YANI HAYO MAFRJ MNAYO TUMIA NI MABORESHO YA MTUNGI MZEE LAITI MNGEJUA RADHA YA MAJI YA MTUNGINI WAL MSINGEJIZALAU.

Mgunduzi wa computer ni mweusi mgunduzi wa chuma ni mweusi..mgunduzi wa madini ni mweusi na tulianza kuyatumia kama urembo kabla yao mgunduzi wa kioo ni mweusi mgunduzi wa bara la malekani ni mweusi

HAYA TUJE ZAMA ZETU
mcheza teniss bora ni mweusi.
Mwanamziki bora wa mda wote ni mweusi M. Jackson
Hiphop bora kwa mweusi 2pac
Basketball tuna jordan
Tuna ronadinho tuna pele
Yani tupo kibaoo.

Alafu bado kuna mbuzi inasema mtu mweusi si lolote si chochote? Tuache kujizalau jamani.
 
So ... what.
If u know u know

We chapa kazi acha kujifariji kijima wajomba ni next level.

Sisi ni wazuri kwenye sanaa tu
 
Wazungu ni uzao wa mashetani na wanadamu thus wapo jinsi walivyo.

Jini ana uwezo Mkubwa wa akili mara tatu ya binadamu. Wazungu ni uzao wa majitu walioitwa Wanefeli type za kina Goliath.

Wanefeli walitokea baada ya mashetani kuwaona wanawake wa kibinadamu wakiwa uchi wanaoga mtoni wakawatamani wakafanya nao ngono wakawapa mimba, ndipo wakazaliwa watoto ambao ni africast wa binadamu na mashetani ( Wanefili/ majitu).So hawa wazungu wa sasa ni mchanganyiko wa machotara wa kinefeli na binadamu.
 
Well said!
Kuna mijinga mingine humu ndani haina kazi ya kufanya bali ni kujilaani yeye na kizazi chake tu walahi!
Hivi hawajui kuwa midomo inaumba? Na ardhi ya nchi ina masikio na midomo ya kuwa angamiza?
Eti kwa kuwa ni mipinzani basi kazi yake kubwa ni kuilaani nchi!
Mpumbavu kabisa walahi!
 
Wazungu ni uzao wa mashetani na wanadamu thus wapo jinsi walivyo.
Jini ana uwezo Mkubwa wa akili mara tatu ya binadamu. Wazungu ni uzao wa majitu walioitwa Wanefeli type za kina Goliath. Wanefeli walitokea baada ya mashetani kuwaona wanawake wa kibinadamu wakiwa uchi wanaoga mtoni wakawatamani wakafanya nao ngono wakawapa mimba, ndipo wakazaliwa watoto ambao ni africast wa binadamu na mashetani ( Wanefili/ majitu).So hawa wazungu wa sasa ni mchanganyiko wa machotara wa kinefeli na binadamu.
Mbona kama makasiriko bwana mdogo, Binadamu wote ni sawa na wote ni wa Allah!
 
Wazungu ni uzao wa mashetani na wanadamu thus wapo jinsi walivyo.
Jini ana uwezo Mkubwa wa akili mara tatu ya binadamu. Wazungu ni uzao wa majitu walioitwa Wanefeli type za kina Goliath. Wanefeli walitokea baada ya mashetani kuwaona wanawake wa kibinadamu wakiwa uchi wanaoga mtoni wakawatamani wakafanya nao ngono wakawapa mimba, ndipo wakazaliwa watoto ambao ni africast wa binadamu na mashetani ( Wanefili/ majitu).So hawa wazungu wa sasa ni mchanganyiko wa machotara wa kinefeli na binadamu.
WEKa chanzo cha maneno yako isijekuwa ni hearsay.!
 
Kabisa,yaan watu wameathiriwa kabisa...wanajiona fukusi
 
Waafrika matendo yaliyo jaa ndani ya jamii zao ndo zinawahukumu na si vinginevyo.
 
Huu uzi unathibitisha hata waafrika ni wabaguzi
 
Back
Top Bottom