Devi kaajiriwa kwenye kampuni, akiwa ndo kwanza ana siku mbili, akainua simu ya mezani na kupiga extension fulani akijua kampigia mtengeza chai; Devi: Oyaa hebu haraka leta chai Jibu: Nani we mpumbavu unanituma mimi chai? unajua unaongea na nani hapa? Devi: Sijui we nani? Jibu: Mimi ndie Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hii. Devi: Na we unajua mi nani?
Jibu: Sijui
Devi: Dah nashukuru Mungu, akaweka simu chini