Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,798
- 22,131
Malipo yake yakoje? Maana nimefungua link nakutana na kujiunga moja kwa moja wakati natakiwa kuona gharama ndio niamue kujiunga au sivyo.Mimi natumia unitxt
Cheap reasonableMalipo yake yakoje? Maana nimefungua link nakutana na kujiunga moja kwa moja wakati natakiwa kuona gharama ndio niamue kujiunga au sivyo.
Hiyo inazingua sana ni ya kizamani mnoCheap reasonable
hujui kutofautisha mkuuHizo zimeshtukiwa kuwa ni chocho la Sim Farm....
Ole wako wakunase.....
hivi sim farm na hizo nafkiri ni vitu viwili tofauti kabisa japo kwa jina ni moja ila mifumo sina uhakika kama ni kitu kimoja, labda tupate ufafanuzi kwa mtoa madaHizo zimeshtukiwa kuwa ni chocho la Sim Farm....
Ole wako wakunase.....
kuna vitu vingi sana hujui mzeeHizo zimeshtukiwa kuwa ni chocho la Sim Farm....
Ole wako wakunase.....
Ni DM mkuu tuone tunafanyeje kazikuna vitu vingi sana hujui mzee
sawaNi DM mkuu tuone tunafanyeje kazi
Kukufanyia zote nimekutumia INBOXGharama za kufanya hii kitu ni ngapi mtaalamu?
hujui kutofautisha mkuu
hivi sim farm na hizo nafkiri ni vitu viwili tofauti kabisa japo kwa jina ni moja ila mifumo sina uhakika kama ni kitu kimoja, labda tupate ufafanuzi kwa mtoa mada
Simfarm inafanyaje kazi yake ya flooding mobile network mpaka ina crash bila kuwa na bulk sms?kuna vitu vingi sana hujui mzee
Sasa Mkuu hii ni tofauti Tofauti ya Bulk SMS ni huduma halali ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia mtandao wa mtoa huduma (operator) au kampuni iliyoidhinishwa, kwa kawaida hutumika kwenye matangazo, taarifa au uthibitisho wa huduma; SIM farm, kwa upande mwingine, ni mfumo wa vifaa unaotumia SIM kadi nyingi na VoIP kufanya mawasiliano yaonekane ya kawaida ya ndani, mara nyingi hutumika kukwepa udhibiti au gharama za mitandao. NB BULK SMS lazima usajiliwe kwenye mtandao kwa Tz lazima kampuni zote zikuidhinishe ndio inakuwa aprovedSimfarm inafanyaje kazi yake ya flooding mobile network mpaka ina crash bila kuwa na bulk sms?
Mkijakudakwa mtajiju….
View attachment 3542326
simfarm ni kifaa flan hivi ambacho kinatumia lain nyingiSimfarm inafanyaje kazi yake ya flooding mobile network mpaka ina crash bila kuwa na bulk sms?
Mkijakudakwa mtajiju….
View attachment 3542326