Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Umeshawahi kujiuliza kuhusu satellite
kwenye huu ulimwengu wa dunia ni Nini ? 
Najua watu wengi mlikua hamjui angani Kuna zaidi ya satellite 6542 zilizo active ni 3372 wakati 3170 haziko active ila je iyo satellite ni kitu gani?
Satellite tunaweza sema ni mwezi , sayari, mashine inayozunguka sayari au tunaweza sema ni nyota.mfano dunia ni satellite kwa sababu inazunguka Jua, pia mwezi ni satellite kwa sababu inazunguka Dunia.
Kwa kawaida Neno satellite ni mashine inayorushwa angani na kuizunguka Dunia au kitu chengine Chochote angani. Mfano Dunia na mwezi ni satellite za asili. Pia Kuna maelfu ya Satellite bandia zinazotengenezwa na binadamu ambazo huzunguka Dunia.
Kupitia Satellite watu huweza kupata picha za sayari ambazo zinawasaidia sana watu kutabiri mfumo wa Hali ya hewa na masuala ya vimbunga. Wengine wakipata picha mbalimbali za sayari nyingine, Jua , mashimo meusi , vitu vyenye Giza nk picha hizi huwasaidia sana wana sayansi kuelewa vyema mfumo wa jua na ulimwengu.
Pia satellite zinatumika kwa ajili ya mawasiliano ,kama vile mtu kupata mawimbi kwenye Tv (signal) pamoja na kupiga simu ulimwenguni kote. Nje ya Dunia Kuna zaidi ya satellite 20 kazi zake ni kuunda mfumo wa kuweka Gps Kupitia hizo Satellite tunajua mtu Yuko wapi gani kwa sasa kupitia kifaa chako.
Unajua Satellite husaidia watu kuweza kukusanya data za eneo Fulani kwa haraka zaidi kuliko vifaa vilivyopo kwenye ardhi kwani kwenye satellite huwezesha watu kuona maeneo makubwa ya Dunia kama vile angani , ardhini kwa wakati mmoja.
Kabla ya Satellite , mawimbi yanayotoka kwenye Tv yalikuwa hayaendi mbali sana kwa sababu mawimbi ya Runinga usafiri kwenye mstari uliyonyooka pekee. Kwaiyo kwenye majengo , marefu , milima na Kupiga simu maeneo mbalimbali kulikua changamoto.
Kupitia Satellite sasa mawimbi huweza kusafirishwa mpaka juu kwa haraka zaidi papo hapo, Kisha satellite huweza kusafirisha kwenye maeneo mengine uyatawanya sehemu tofauti tofauti duniani.
Satellite ziko za aina mbalimbali kuanzia maumbo na size, watu wengi wanamiliki za aina mbili ambazo zinafanana antenna na power source. Antenna hutuma na kupokea taarifa, mara nyingi kwenda na kutoka duniani.
Wakati power source inaweza kuwa solar paneli ya jua au betri. Solar Paneli za jua hutengeneza nguvu kwa kugeuza mwanga wa jua kuwa umeme. Ila satellite nyingi zilizopo nje ya Dunia hubeba kamera na sensor za kisayansi
hivyo huelekezwa kwenye hii Dunia ili kuchukua taarifa mbalimbali kuhusu ardhi , hewa na maji. Wakati mwingine huelekeza angani ili kukusanya data kutoka kwenye Jua na mifumo mingine.
Source nasa