KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 869
Binafsi naamini kuwa moto una siri kubwa kiafya, hii ni kwa sababu mababu walioishi miaka mingi sana walikuwa wanaota moto asubuhi na jioni tena pengine hata usiku kucha kwa kuweka chini ya kitanda.
Lakini pia ukiangalia maisha ya hawa wezetu walioendelea (wazungu) wanapenda sana kuweka sehemu za kuota moto kwenye nyumba zao pindi wanapopumzika.
Ni mawazo yangu tu, sijui wewe unalichukuliaje suala hili?