Mkuu tatizo lako linaweza kua ni, kama ni universal Modem, basi jaribu kutumia dash board nyingine kwa maana dash board inayotokana na MODEM installation haina network profile. Pia unaweza kutengeneza wewe mwenyewe profile ili uweze kupata connection iliyo ktk dash board yake kwa kwenda ktk option chagua profile management, edit profile, ipe jina lolote, apn andika internet na dial no iwe *99# kisha save. Hapo sasa utaanza kupata connection fresh kabisa.