D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,661 Reaction score 121,092 Feb 22, 2023 #2 Mti kivuli
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,495 Reaction score 22,685 Feb 22, 2023 #3 Unahusiana na kifo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,318 Feb 22, 2023 #4 spidernyoka said: Unahusiana na kifo Click to expand... Tanzania mnajua kuzusha mambo. Nina anko yangu ameipanda hiyo miti tangu miaka ya 90 mwanzoni na wote na familia wako hai.
spidernyoka said: Unahusiana na kifo Click to expand... Tanzania mnajua kuzusha mambo. Nina anko yangu ameipanda hiyo miti tangu miaka ya 90 mwanzoni na wote na familia wako hai.
Jemima Mrembo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 2,955 Reaction score 8,674 Feb 22, 2023 #5 Unasingiziwa mengi mno
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,318 Feb 22, 2023 #6 Jemima Mrembo said: Unasingiziwa mengi mno Click to expand... Narudia hii ni nchi ya kishirikina hadi kwa wanaojiita watumishi/wachungaji nao wanaamini hiki
Jemima Mrembo said: Unasingiziwa mengi mno Click to expand... Narudia hii ni nchi ya kishirikina hadi kwa wanaojiita watumishi/wachungaji nao wanaamini hiki
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,982 Feb 22, 2023 #7 Nilisikia mizizi yake ikishaingia ndani ya nyumba mikosi na matatizo itakua sehemu ya maisha Yako. Ili kujua Kama mizizi imeingia ndani unaangalia matawi yake inasemekana yanapoishia matawi na mizizi inakua imefika hapo.
Nilisikia mizizi yake ikishaingia ndani ya nyumba mikosi na matatizo itakua sehemu ya maisha Yako. Ili kujua Kama mizizi imeingia ndani unaangalia matawi yake inasemekana yanapoishia matawi na mizizi inakua imefika hapo.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,764 Reaction score 20,903 Feb 22, 2023 #8