Unajua nini kuhusu Devowoshipu

Ukiwapata wajinga wajinga unawanyoosha tuu
 
Hivi zile sms za freemasson hata kina mo na bakhesa uwa wanatumiwa kweli au nisisi tuu
Kwanza namba ya mo wanapata wapi..
Zile tunatumiwa sisi ambao kule fb wakisema tutume namba za kujiunga kwenye magroup fulani fulani..
 
Walitekaga sana masheikh ubwabwa wale jau sana🀣🀣🀣
Mpaka sasa wanateka watu ila ni nanjilinji huko ahahahahha...

Kuna mwingine akawa anatupa sayansi ya mdudu nyuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…