Watu wameiba leaf za sticker za fire kwa magari na majengo.
Sasa kama ata sticker ambazo zimeibiwa ambazo kila moja ina gharama ya angalau 30000tshs basi tz tulipofikia ni pabaya!
Hizi sticker hazina faida yoyote zaidi ya kua ni mradi tu wa watu fulani,
Mi gari zangu zote tatu za biashara hua hazikaguliwi na sticker ninazo vilevile.
Ni sawa na leseni ninayotumia sijawahi kwenda veta au shule yoyote ya udereva lakini nina leseni ya kutoka mkoa mmoja ambao ki ukweli sijawahi kufika toka nimezaliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.