unajua ni kwa nini sticker za fire zimechelewa kutoka

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Watu wameiba leaf za sticker za fire kwa magari na majengo.
Sasa kama ata sticker ambazo zimeibiwa ambazo kila moja ina gharama ya angalau 30000tshs basi tz tulipofikia ni pabaya!
 
cha muhimu ni sticker au fire fighter equipments?watanzania tunaibiwa sana sticker sh 30 000 for what?bora ukaguliwe na upewe certificate
 
Hizi sticker hazina faida yoyote zaidi ya kua ni mradi tu wa watu fulani,
Mi gari zangu zote tatu za biashara hua hazikaguliwi na sticker ninazo vilevile.
Ni sawa na leseni ninayotumia sijawahi kwenda veta au shule yoyote ya udereva lakini nina leseni ya kutoka mkoa mmoja ambao ki ukweli sijawahi kufika toka nimezaliwa
 
Back
Top Bottom