Forodha au Customs ni mahali vitu vinapoingilia kutoka nchi za nje kama vile mipakani, bandarini, viwanja vya ndege. Kwa wale wanaoruka kwa ungo (wachawi) huwa hawana FORODHA ππ
lakini si mahali hasa (matumizi haya yako pia: nyumba ya forodha..) ni zaidi idara au ofisi inayoangalia bidhaa zinazoingia na kutoka nchini na kudai malipo. Ushuru ni zaidi pesa au kiasi cha pesa inayodaiwa na serikali kwa kibali cha kupeleka bidhaa maalumu ndani au nje ya nchi-