Ukimpenda sio lazima nae anakupeda?
Ukiwa muaminifu huenda nae sio muaminifu?
Ukimjali huenda yeye hakujali?
Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni kwa faida yako mwenyewe!
Moyo wa mtu ni kiza kinene na ni mdanganyifu kuliko vitu vyote.....Na usiende kutangaza kwa watu ati " mimi na xxxx tunapendana sana" ama " xxx ananipenda sana", Moyo wa mtu hausemewi hata kidogo.
Moyo wa mtu ni kiza kinene na ni mdanganyifu kuliko vitu vyote.
Dalili sio kitu halisi
Unaweza kudhani unaona dalili za kupendwa kumbe unajidanganya mwenyewe
Unaweza kuona dada unakuchekea ukadhani anakupenda kumbe kila akikuona anakuwa anamkumbuka mwanae jinsi anavyokuwa na uso kama wako anapokuwa na njaa!!!!!!!!
asanteeeeeeeeusiku mwema..
Hakuna maisha ya aina hiyo!!
Is a matter of time na mtakuja kuniambia kuwa nilikuwa nawaambia ukweli!!!!!
Do you know everything that exist?
Sio kweli!