unajua hili???

unajua hili???

Duuu! Kuipata hiyo ni gharama zaidi kuliko kununua mpya.
 
KWA WABAHIRI WA KUNUNUA CALENDER:
Kama una calender ya mwaka 1985, 1991 au ya
mwaka 2002.
Ichukue itumie kwani ni sawa kabisa na ya mwaka
huu 2013.

ahsantemkuu
ila mpaka kujua hilo inaonesha ww ndio kinara wa ubahili.
 
Jamaa anatisha, nimeangalia kalenda ya january 2002, ni exactly na ya jan 2013
 
KWA WABAHIRI WA KUNUNUA CALENDER:
Kama una calender ya mwaka 1985, 1991 au ya
mwaka 2002.
Ichukue itumie kwani ni sawa kabisa na ya mwaka
huu 2013.

We ni noumaaaaaaaa.............Da yani umefikiriaje mpaka ukafikia hapo? yani we utakuwa mbahili sana du.....
 
Duh mzee utakuwa umeshtukia birthday yako miaka hiyo inajirudi Siku zile zile nini?
 
tushajaradia madaftari siku nyingi.
ila we mkariiiiiiii
 
Duh mzee utakuwa umeshtukia birthday yako miaka hiyo inajirudi Siku zile zile nini?

Habari za kuhadimika? Since 2011 only 15 posts


Join Date : 6th December 2011
Location : Where ever I am
Posts : 15
Rep Power : 361
Likes Received4
Likes Given5
 
Taabu ni hizi nyumba zetu kalenda ya mwaka 2002 mende wameshainyea huwezi iweka sebleni.
 
Hata kama ni ubahili huu mwingine umezidi,kalenda za bukubuku mbona kibao!
 
HP1 habari ya kuHadimika in nzuri Kabisa! Za kwako niaje?
 
Back
Top Bottom