Munisijo umeniacha hoi hilo nalo neno ndugu yangu.then mi naona wanaume pia wasikurupuke na kuoa wakahisi ni fashion labda vijana wadogo wanaoa wanatakiwa kujipanga na kujua sasa naingia kwenye ndoa and if god wish ntakuwa na familia yangu means watoto wawe wanajua responsibilities as father pia waache uselfish chukulia umemuoa kwa mapenzi yote na s kumtesa ukamchukulia kama ye ss binadamu mwisho wa sku mariage is more than sura na shepu
Uzuri unawavutia wengi, but it takes more than uzuri kumkeep mtu.
Assuming huyo mwanaume sio player but he is looking for something more. Anaweza akikute kwa not so beautiful girl na kuwekeza huko na kumuacha miss Mzuri home.