Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
ndio maana usingizi ulikata?
unaweza jiona kifaa lakini kumbe mwenzio mtundu zaidi
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
ha ha ha ha.. eversmillin...polwe sana. unaweza kuwa mkali sana kwa nje ila ukawa mbovu sana kwa ndani. fanya uchungu kwann huyo mwanaume ametoka na mwanamke huyo mbovu kwa nje....ndani labda kakuzidi kiwango....:behindsofa:
Teh teh tehteh ok kama ndo cjui huyo mwengine eti mtundu zaidi what if mwanaume mwenyewe hajui kujishughulisha ipasavyo we ndo unajitahidi kwa nguvu zako
whether mkali au mbaya,wanaume the dont care abt that,kama wewe mkali kwa mwonekano,basi atajisifu akiwa na marafiki zake,pia safari kibao maana unafit kukaa kiti cha mbele.lakini upande wa pili,kifungashio cha nje chaweza kuwa ovyo,ila kilichomo ndani,ni cha high quality.
Hivi when u ar cheated, uzuri unasaidia maumivu? I mean if u ar beautiful than mgombea mwenza, does it make u feel more of a woman?
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali unajisikiaje au unafanyaje .kwa upande wangu namdharau mwanaume na huyo mwanamke halafu nawapotezea we unafanyaje halafu ye anaona kapataaaa....
inaonekana uko partial virgin, hujajaza basi so experience za kuchitiwa na vitu vya ajabu hujazipata.
Maumivu yanazidi sana kutegemea na umechitiwa na nani.
Imagine unamkuta honey wako kamwinamisha mbuzi, hivi kweli mbuzi naye kakushinda nini? Au papai?
Anyway, on a serious note, inajalisha sana kacheat na nani, bora acheat na mtu mnaendana endana lol
wengine ukiwaza tu, kweli nashare na Mwaju? Apetite inapotea miaka 50.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Kongosho umeua sana! Yan meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hahahahahahahahahahahahaha
hapa kweli lazima mwanamke ajihisi takataka!
Hivi when u ar cheated, uzuri unasaidia maumivu? I mean if u ar beautiful than mgombea mwenza, does it make u feel more of a woman?
Dah my sister me nahisi uzuri unakuwa ni miongoni mwa category nyingi za kumvutia mtu.. Unaweza mkuta mwanamke hana mvuto but anavionjo vingine vinavyomfanya mwanamme adate
Nakushauri "Usitukane mto kabla hujavuka mamba!", kama hayaja kutokea basi yasikie tu kwa watu Mbalii yasikufikeAkuu haukukata kwa sababu hiyo hata cpendi kumchunguza nimeileta hii mada tu nione wenzangu mnalichukuliaje