Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,137
Natumia ya south africa pia.. Alaf naenjoy kwa sababu ndo mafuta na mke wangu anapaka so ni mwendo wa kubana matumizi.. Chupa moja tunashare na wife...hata hyo nzuri sana product za south africa ni nzuri kweli
hope unatumia ya south africa sio ya nairobi
Acha ubahili mzeeNatumia ya south africa pia.. Alaf naenjoy kwa sababu ndo mafuta na mke wangu anapaka so ni mwendo wa kubana matumizi.. Chupa moja tunashare na wife...
Utaweza kukabiliana na harufu yake maana nasikia mawese ina harufu kali sana sijui labda tuwaulize wenzetu wa west I mean Nigeria Ghana etc sio west kwa USA n.knasikia mawese mazuri sana nijaribu siku moja
ngoja niongeze asali na karafuu week hiiAaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
siyajui hata mimi sipendi harufu kali lakiniUtaweza kukabiliana na harufu yake maana nasikia mawese ina harufu kali sana sijui labda tuwaulize wenzetu wa west I mean Nigeria Ghana etc sio west kwa USA n.k
Hapana dia, wewe wajua??ngoja niongeze asali na karafuu week hii
unajua kutengeneza sabuni ya nazi ya kipande?
Co ubahili , mke wangu hatumii kipodozi cha aina yoyote zaidi ya lotion ya aloevera ,colourless lipshine na body spray ya black n white.. So kama kawaida bodyspray na lotion tunashare kupunguza gharamaacha ubahili mzee
Makemiko si safi kupaka mwilini Osha mwili wako vizuri hutonuka.... na wakati mwingine manukato yanakera sana kuyasikia pua huumia... Na demu Mwarabu namkataza lakini Haachi.. yaani full Mafuta body spray,Deodorant Perfume and then anamalizia na udi khah!cancer ya nini?
Hapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtuaHapana dia, wewe wajua??
hatupaki machemical tunapaka manukato na marashiMakemiko si safi kupaka mwilini Osha mwili wako vizuri hutonuka.... na wakati mwingine manukato yanakera sana kuyasikia pua huumia... Na demu Mwarabu namkataza lakini Haachi.. yaani full Mafuta body spray,Deodorant Perfume and then anamalizia na udi khah!
Ile Hatua ya kuyatengeneza ndio huitwa Chemical reaction maana kuna vitu either vitoke visilete madhara zaidi au viongezwe kupunguza athari so unazunguka ila upo pale pale... Marashi hayalimwi lazima yatengenezwehatupaki machemical tunapaka manukato na marashi
Poa poa, unishtue mwaya.hapana ila kuna mdau nilimkuta anatengeneza yaani ni msoft balaa nitaenda kujifunza nitakushtua
Asante mpzLipo mtaa wa nyamwezi na mkunguni,
Yani hilo jengo lao laangaliana na soko kuu, k,koo.
Foundation niitumiayo ni DREAM MATTE MOUSSE, sina hakika kama wao wanayo. Ila foundation kavu za aina tofauti tofauti utazipata.
Yeah ni kweli nafuta ya mawese mazuri sana hata kwa mtoto yanafaa.nasikia mawese mazuri sana nijaribu siku moja
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?
Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.
Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Jaman naomba unielekeze unavoyatengeneza please!Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.