Ngoja utapatiwa tu we subiri....!!!1 tena ukiwa mjamzito...!!
Hamna hyo!!!
Nani ashike ujauzito,
mimi??
Sibebi mpaka nihakikishe Nimemaliza Bar na NightClub zote mjini.
Na bado mwendo uleule.
Utamalizia tu bibie ukiwa na ki-zygote....
Za wengine king'ng'anizi zinata kama gundi ya superglue kwenye naniii ma-egg..hahahahahaa...
Ndio inauma sana.
Ila nyie wanaume mna makosa sana,
kwa nini usimwambie huyo mwanamke kuwa hautamuoa?
Kawaacha wangapi wenye nia mpaka kakusubiri wewe?
Na mwisho wa siku unamuacha kisha unaoa gal mwingine?
Unasikia Kimbweka,
walah nakuambia utaja amini siku moja.
Ila mpaka ifikie hatua ya kukubali kubeba ujauzito wa mtu ujue ni kwamba umedhamiria kuwa nae kiukweli.
Ila ukweli utabaki palepale kuwa wanaume ndio mnaoongoza kwa kusaliti wapenzi wenu!!
how are you wangu?
Mimi si unajua niko tofauti?
Nukupitia tukale!
Unasikia Kimbweka,
walah nakuambia utaja amini siku moja.
Ila mpaka ifikie hatua ya kukubali kubeba ujauzito wa mtu ujue ni kwamba umedhamiria kuwa nae kiukweli.
Ila ukweli utabaki palepale kuwa wanaume ndio mnaoongoza kwa kusaliti wapenzi wenu!!
EEEeeeh unaongea kwa msisitizo.....Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu....
Wapo wengi waliokuwa na msimamo zaidi ya wewe lakini wanashangaa kitu chaliiiiii.....ndo anazinduka.....!!!
Sisi hatuongoziii wanawake ndiyo wanaongoza kwa kufuata mali na fedha...
!
Baeleze baeleze...tenaaaaa...
Am fine wangu.
Sio uko tofauti,
hamkawiagi kutugeuka nyie!!
Ukimpata mwenzangu alienizidi kidogo tu,basi roho zinawatapatapa.
Nikikusikia hubby umepata mwingine,
nakugeuza kioo kila siku najitazama.
Sasa wewe Kimbweka umenifata siku ya kwanza na ukani-aprch!
Ukaanza kujinadi Ooh... me nina pesa nyingi,ukiwa na mimi hautapata tabu,
sasa unategemea ukiishiwa niendelee kubaki na wewe ili iweje wakati uliniwekea mazingira ya kuishi ki-Anasa?
We kubali tu ukweli ninaokwambia!!
Nabaelezea lezea bhana ngawa na motema,
E'saliN'goro émbakasi kitokol'o,
wanadhani ukiwa na Boflèè ni Kon'garízä Mimba tu.
Hivi ikatokea wapenzi wako wa zaman wanaoa na kuolewa, halafu wewe hujaoa au kuolewa. Unajiskiaje? ulishawahi kujiuliza kwanini.............?
Me siwezi kataa sisi wanaume huwa tuna geuka!
Lakini mi nitajita hidi nisi geuke kwani najua hakuna mkamilifu hata huyo nitakae mfata hawezi kuwa parfect!
Haya pia yana toka na watu kuonena soo! Mi nawewe tulisha vunja ukimya zamani sana kwani kutoka nje hakuto saidia kurekebisha mapungufu ya ndani.
Mwaaaah
Asante kwa kukubaliana na mimi....!!!
Katika maisha yangu sijawahi mtamkia mwanamke mzuri maneno hayo...!!
Mie huwa namlainisha na manjonjo tu mpaka anajikuta yupo pinduuuu.....!!!teh teh teh
Asante kwa kukubaliana na mimi....!!!
Katika maisha yangu sijawahi mtamkia mwanamke mzuri maneno hayo...!!
Mie huwa namlainisha na manjonjo tu mpaka anajikuta yupo pinduuuu.....!!!teh teh teh
Haya mambo ndio yanazidi kunifanya ni kukubali wangu!
Yan uko fit kila idara
wanafunzi wako wamepata nami nimepata
alinipiga tukiwa shule, mawivu yalikuwa yamepitiliza, nikachukia nikaachana naye, kumbe alikuwa bado ananipenda, nikapata mwingine ambaye ndiye hubby, akasikia naolewa miezi 6 baada ya kuachana naye, hakuamini, alikuja hm kwetu siku ya sendoff, acha afanye fujo na kutangazia kwa ndugu zangu kuwa mimi ni mkewe hata iweje, baada ya kufunga ndoa tu, alikwenda nje US na kuapa hatakaa arudi tanzania, cku akirudi atakuwa amerudi kumchukua mkewe ambaye ni mimi. hajaoa mpaka leo! sikujua kama inauma hivyo!!!! ila ndio hivyo tena haikupangwa mimi ku-last naye!