Unajifunza Nini Kuhusu Hii Picha

Lisu ndiye mzalendo wa ukweli wengine wote wachumia tumbo tu jitu limekaa serikalini miaka ishirini naa amakulaa wee Leo ndoanajifanya mzalendo kama ungekuwa mzalendo wa kweli mbona hakuwai kuuonyesha huko nyuma? Na mkubali sana lisu
 
Kwa nchi ilikofikia huyo jamaa anatosha sana kumnyoosha maghu 2020. Yaani aachwe agombee urais .
Magu wa kumnyoosha hamna asee pamoja na kuwa malengo ni hayo lakini ataangukia pua mbaya kabisa,kameni kwa upande wa magu 2020 zilishaisha imebaki kumtangaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu jamaa mnamsifia kwa lipi hasa ambalo anaifanyia nchi hii? Yaan kufanya ujinga na kushinda mahakaman ndio la maana?

Wakat jimbon kwake hajawahi kukanyaga sasa sijui alichaguliwa kushinda mahakaman au hata sielewi..

Wakat mwingne ukishindwa kuwa maarufu au kujulikana na matendo mema na ya hekima itabidi ujulikane kwa mambo ya kipuuzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…