Mkuu mbona unacheka sasa !!!? Dah hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu naona umemuweka bwana randal kwenye profile picture...hahahaahAlitaka eti wewe uwe wake yeye peke yake usimchanganyie marangirangi.
Maendeleo hayana chama
Wnawake wee gegeda zepa zako kwa ulimwengu wa sasa ni ujinga mkubwa kumpenda mwanamke na kudhani unakula papuchi weye peke
Wacha aweke wazi ukweli wa hawa warembo kaka. Hawa sio wakuwapenda kamwe wee wagegede tuu...wapo kimaslahi all the time.Ndio maana mkiomba papuchi jf mnanyimwa ...
Kwa sababu kama hizo za mtoa mada
Yaani watu mna shindwa kabisa kuwa na privacy katika maisha
A gentleman doesn't kiss and tell
hata hivyo unamoyo wa kuchat, mi mademu wa hizo type huwa naona hata uvivu kujibu text zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa nazitumia na ex wangu mmoja hivi siku alipokata mawasiliano na simu alio kuwa anaitumia kumbe ilikuwa ya njemba mmoja aisee nilishiwa poziMkuu mbona unacheka sasa !!!? Dah hahaha
Hahaha aiseHizo kauli zao hata
Mimi nilikuwa nazitumia na ex wangu mmoja hivi siku alipokata mawasiliano na simu alio kuwa anaitumia kumbe ilikuwa ya njemba mmoja aisee nilishiwa pozi