Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,498
Wanawake wa skuizi wako vizuri kutupanga sie wanaume kuriko ata tunavyowapanga
Kama mwez umepita nimeona dem mzr na mzee flan hv
Kumfata dem kumbe yuko na yule mzee bna
Mzee ana kama miaka 50 dem ana kama 24 na ana shep nzr sana kutokana na alivyovaa
Kumfata dem akanambia yuko na mpenz wake kumbe ndo yule mzee
Mzee akafura nikaongea na dem kidogo nikasepa
Siku nyingine naenda pale yule muuza chips akasema mzee alinitukana sana nilivyoondoka
Juzjuz nmekutana na dem akanichekea nkamfata tumeongea kuondoka akaniomba namba ya cm nkachukua yake nikambip
Cha kushangaza dem anamkana yule mzee, yaan ni kama kaniona mi taira flan hv kama punguani flqn nisiejielewa
Mara ooohhh yule mzee ananitaka, mara kanisaidia mengi sana ila sijamkubalia na sijamvulia chupi
Wengine wengi nakutana nao wanasema wako na wapenz ila wananikubalia
Mwingine leo nae kakuhali uku yuko na mpenz
So usijidanganye kwa kupotez resources zako
Nenda kwa mschana ukijua unachofata na kukipata
Kama unampa mimba fresh
Kama unataka kwa sho off sawa
Kama unataka kwa sex kwa mdamda
Ila usijidanganye utakuwa mwenyewe