Miss Bantu
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 153
- 149
O.M.G I can't miss this, ngoja niipangilie mistari kwanza nitarejea Miss Bantu.
Miss Bantu weka basi picha yako tuone,nisitumie nishati kubwa wakati sijui kama unalipa
chelewachelewa utakuta mwana si wako..
we utakua tomaso.. subiri utakuja kusimuliwa.!!
Acha uoga Level, hizo ni dalili za kushindwa au hupendi figa za kibantu??Miss Bantu weka basi picha yako tuone,nisitumie nishati kubwa wakati sijui kama unalipa
we utakua tomaso.. subiri utakuja kusimuliwa.!!
Special kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu...
kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako kuntongoza live hapahapa mpaka ntakapokubali, kwa atakaekuja na mistari ya ukweli basi nafasi itakua yake.!!! am single and ready to mingle
who knows.. it can be you
Miss Bantu mi sitaki vya kuambiwa,nataka nione na kupapasa mwenyewe
Elli vipi?? Umeniibia mistari yangu bwana........hapa sina changu, ngoja nijipange upya!!Nina fullkobe tatu, nafuga kitimoto na nina mtambo wa kuzalishia gongo ninamiliki mitumbwi miwili bado sijamalizia kozi ya kuruka kwa ungo yeah nadhani hii pia itanipa credit; nimefuzu mafunzo ya umbea na pia sijamaliza dozi ya arv kwajili ya kupunguza mawazo@ !! Vipi inalipa?
ndio leo chance yako ya kujifunza kutongoza anza sasa tupiga mistari ujipime kiwango chakoLoh?
Mie nshazoea kutongozwa na wadada, ya leo itakuwa mpya kabisa.
Nina fullkobe tatu, nafuga kitimoto na nina mtambo wa kuzalishia gongo ninamiliki mitumbwi miwili bado sijamalizia kozi ya kuruka kwa ungo yeah nadhani hii pia itanipa credit; nimefuzu mafunzo ya umbea na pia sijamaliza dozi ya arv kwajili ya kupunguza mawazo@ !! Vipi inalipa?