yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,129
Asante mkuu. TV mtumba nitazipata wapi? Kama ni k.koo ni sehemu gani?Mi natumiaga kampuni mbili, Samsung na LG. Hazijawahi nisumbua.
Pia unaweza kuingiza model number online kama ni original itakuletea maelezo yake.
Pia nimekuja kugundua ukitaka Tv original nunua mtumba, ingawa dukani orijino zipo lakini bei ipo juu.
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu Hisense mkuu CHIEF MKWAWAKwa brand kubwa TV OG smart itakuja na proprietary software.
Mfano Samsung itakuja na software ya Tizen na LG itakuja na software ya web os. Hizi software zipo unique na hazifanani na kampuni yoyote ile.
Kwa kina Sony na TCL utakuta Android ambayo ni certified, Android tv yenye playstore na comp ability ya apps za TV kama tivimate.
Android uatakayoikuta TV za kichina ni ya Tablet haina tofauti na simu, hutakuta vitu vingi ambavyo ni essential.
Labda ilisetiwa timer kua ikiwa on baada ya masaa mawili ijizime. IchunguzeBinafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Hata mi niliamua kununua Hisense, naona zimeingia kwa kasi. Niliamua kujilipua, potelea mbali. Nimenunua wiki iliyopita.Vipi kuhusu Hisense mkuu CHIEF MKWAWA
izo tv zinauzwa kama nguo pale kariakoo zinachuja mwaka tu unaanza kuona vitu tofauti.Hisense naonaga km ni utopolo tu. Ukiona tv zinauzwa kwa fujo kila mtu anauza jua hamna kitu. Nenda kanunue LG au Samsung. Hizo hisense naada ya miaka miwili picha inapungua ubora
nenda kwenye rmot yako na ukaweke timer off iyo itakua ilsetiwa kama baada ya masaa mawil ijizime au ikfka saa nne usku ijzme n swala la seting ingekua n mbovu pale ipojzma isnge kubal kuwakaBinafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Hisense kibongo bongo pia wana software yao inaitwa vidaa. Unaweza iangalia youtube na kufananisha na kwako.Vipi kuhusu Hisense mkuu CHIEF MKWAWA
Mkuu umeitumia?izo tv zinauzwa kama nguo pale kariakoo zinachuja mwaka tu unaanza kuona vitu tofauti.
Mkuu samahani kwa usumbufu. Wewe unaongeleaje kuhusu ubora wa Hisense?Hisense kibongo bongo pia wana software yao inaitwa vidaa. Unaweza iangalia youtube na kufananisha na kwako.