Unaitaji meneja wa kampeni za ubunge 2010?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,085
Reaction score
38,460
Pm me now
with cheap price
 
Nataka gombea lile jimbo la Mzindakaya....uko tayari kuwa manager wa kampeni hizo? Ubunge 2010
 
Weka picha wewe...kujifanya unajua watu wakati huwajui. Weka picha hapa
 
Niko tayari kumfanyia kampeni Mnyika tu Ubungo. If he is accessible could he please PM me? He is packagable!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…