Unaikumbuka hii

huyo mtoto anaitwa jane.
 
jamaa kashastaafu ugavana kwenye muvo moja inaitwa expendable amezeeka kimtindo
 
Inanikumbusha wakati ndio nimeanza maisha,chumba kimoja na mpenzi wangu(now my wife),tuna kitanda kimoja 4x4,kochi moja la watu 3 na kistendi chetu cha Tv,kijiko chetu cha mchina,masufuria tumeweka chini,joto balaa ki-feni chetu cha mezani kinatuliwaza tunamuangalia Arnold Schwrzzeneeger kupitia kwenye video deck ya Panasonic,Dah maisha haya we acha tu!!!!
 
Mabasi ya Sumry (Dar-Mbeya-Dar) hii ni favourite "Movie"...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…