daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,403
- 3,301
Unatumiwa kwa njia ya postaNjia gani unatumia safirisha
Unatumiwa kwa njia ya postaNjia gani unatumia safirisha
Hujanielewa ..me pia ni posta mizigo inafika ila Kuna option ya kuchagua njia ya usafiriUnatumiwa kwa njia ya posta
Mbona sijaona aalipomzidi s22 ultra mkuu,nimepitia kila kipengele s22 ipo juuHatimaye wameachia Xiaomi 12S Ultra ambayo imeshaipita Samsung Galaxy S22 Ultra kwa kamera
Hebu angalia hapo mkuuMbona sijaona aalipomzidi s22 ultra mkuu,nimepitia kila kipengele s22 ipo juu
S22 Ultra na iPhone 13 pro Max ni kali sanani Jiwe lakini mara utakaposhika s22 au iphon13
utajua kweli kuna watu wanafanya kazi kukupa kitu bora.
unadhani kwanini zinapishana bei!!!S22 Ultra na iPhone 13 pro Max ni kali sana
Lakini mara utakaposhika Xiaomi 12S Ultra utajua kweli kuna watu wanafanya kazi kukupa kitu bora
Kama 2,000,000 ni mtaji je anaenunua ist kwa 15,000,000 utamwambiaje.MTAJI HUO