Galamtogela
Senior Member
- Aug 25, 2013
- 102
- 27
Hii ni hospitar kumbwa sana hapa mkoani RUVUMA ipo mbali kidogo na mji wa songea .hospitali ni nzuri sana kimajengo pia huduma zake ni mzuri shida ya hapa ni msongamano wa watu huduma zinaenda pole pole sana tokd asubuhi saa 2 unarudi saa 10 jioni.kama kawaida ukitaka kuwahi kuondoka vaa shati la mikono mirefu. Haya yameanza mara baada ya hospitar kurudi chini ya sirikali

Uvae shati ka mikono mirefu unamaana gani mkuu?
imerudi kwani iliwa kuwa ya serikali hafu ikachukuliwa na nani
Uvae shati ka mikono mirefu unamaana gani mkuu?
Teh teh kikwete aliipa hadhi ya hospital ya rufaa kwa ushabiki wa kupata kura!hapo kuna uwanja wa ndege wamissionary wanabeba madini pembe za ndovu kiulaini
manaake rushwa jamani, hamjuiUvae shati ka mikono mirefu unamaana gani mkuu?
Mganga mkuu ni Dr. v. mushi 0783 339856
he is a very friendly and amiable person.
please assist him to enable him to help you.
hayo mambo ya madini blah blah sio lugha ya Karne ya 21. Wamissionary wa Benedictine White Fathers walienda huko more than 90 years ago.
Jamani tuwe na shukrani kidogo hata Kama sio kwa Mungu hata kwa historia.
!