gorretti54
Member
- Jun 21, 2012
- 53
- 17
- Inatokana na gel ya katikati ya jani la Aloe vera.
- Bidhaa hii imetengenezwa kiumahiri na mfumo wenye hati miliki uitwao Stabilization Process.
- Ni bidhaa ya kwanza kupewa mihuri na International Aloe Science Council(International Aloe Science Council IASC aloe vera).
- Bidhaa hii ina virutubisho kama vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20 , amini acid 18 na enzymes.
Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu , kusafisha na kusaidia mmengenyo wa chakula, kuondoa vimbe,kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi kama arthritis, pressure, kisukari, vidonda vya tumbo , kukuongezea nguvu, kupunguza aleji mwilini na mengine mengi.
Ina uwezo wa kukaa miaka 5 kama hakijafunguliwa na miezi 3 endapo kitafunguliwa na kuhifadhiwa sehemu isiyo na joto kali.
Bidhaa hii imewasaidia watu wengi sana duniani. Hapa Tanzania wapo waliokuwa wanatarajia kufanyiwa upasuaji kwenye utumbo kutokana na matatizo ya mmengenyo wa cha chakula(constipation) lakini baada ya kutumia bidhaa hii wamepona kabisa. Wengi waliokuwa na matatizo ya vidonda vya tumbo baada ya kutumia bidhaa hii wamepona kabisa.
Bei Tsh 41,000/-
Mobile: 0783454523
0769888605
Email: gorretti54@gmail.com