Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Wewe lazima utakuwa mwanasheriaCocacola nikinywaji kitam kinarangi nyeusi na kinagesi hakina kilevi kinauzwa sh 400 kwa chupa ndogo sh 500 kwa chupa ya kati 350 ml sh 1000 kwa chupa ya plastic 500ml sh1500 kwa chupa ya plastic saiz ya kai na sh 2500 ml kwa chupa kubwa na kuna chupa mpya ya plastic sh 500. swali jingine pls
Huu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
hao wanapewa unga tu wa kuchanganya na maji na kufanya packaging kila kitu ni u.s.aHuu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Yah ,nataka majibu kama haya sio jitu linakuja kutuwekea hapa bei ya soda kama vile hatujui,(asante sana mkuu)Kwa taarifa yako tu ni kuwa katika Patent zenye thamani kuliko zote duniani ya coca cola ndio namba moja,
pia ndio inayolindwa kuliko zote, ndio maana hadi leo hiyo ni siri kubwa sana, hao wengine akina pepsi na wenzake wanajaribu kutengeneza lakini hawawezi kutoa kama koka.
hiyo ni siri ya familia, na sio wanafamilia wote wanajua.
akifa baba anamuachia mtoto
Tulia tu utajua.Huu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Asanteee kwa kumjibu vzrhao wanapewa unga tu wa kuchanganya na maji na kufanya packaging kila kitu ni u.s.a
Mkuu hawa wa huku kwetu huwa wanapewa ingredients au simplified recipe na maelezo ya jinsi kuchanganya na kupata soda, ni kama vile ambavyo tulikuwa tukitengeneza "juice cola" majumbani kwetu, unafuata tu maelezo rahisi kwenye label.Huu ni uzushi tu.
Sasa kama ni wawili tu wanaojua, hawa wa hapa nyerere road wanatumia compounds zip kuipata coca??? Na wakati hawajui??? Au inashushwa na ndege na kujazwa ktk vyupa???
Heshima kwako mkuu, hii story niliwahi kuisikia nikiwa bado mdogo ila sikutilia maanani labda kwa sababu ya umri.Mkuu hawa wa huku kwetu huwa wanapewa ingredients au simplified recipe na maelezo ya jinsi kuchanganya na kupata soda, ni kama vile ambavyo tulikuwa tukitengeneza "juice cola" majumbani kwetu, unafuata tu maelezo rahisi kwenye label.
hiyo ambayo wanaijua hao watu wawili tu ni product formula. Ni very confidential na ina worth multi billions dollar hivyo siri hiyo haiwezi kutolewa kwa mtu mwengine yeyote kwani ni sawa na kugawa utajiri au kuuza soko lako kwa mtu mwingine.
Na kwa nyongeza tu ni kuwa watu hao hawaruhusiwi hata kupanda ndege moja kwa pamoja ili kuepuka kuwapoteza wote kwa pamoja endapo ikatokea bahati mbaya wakapata ajali.
Nadhani nimesaidia kidogo.
mbona Pepsi INA Bonge LA ladha ukilinganisha na coca cola?Kwa taarifa yako tu ni kuwa katika Patent zenye thamani kuliko zote duniani ya coca cola ndio namba moja,