Unaifahamu Pact Tanzania?

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Wadau naomba kwa yeyote mwenye details za maslahi na working environment ya hawa jamaa kwa position ya program officer anijuze.Natanguliza shukrani kwa wote.
 
Funguka basi kiongozi kuhusiana na mambo ya maslahi katika nafasi tajwa ili nipate picha ya kilichoko mbele yangu..nashukuru

Ethics za kazi haziniruhusu kufanya hivyo. Nadhani wewe unajua unachokitaka au hauna kazi kabisa kwa sasa.
 
Ethics za kazi haziniruhusu kufanya hivyo. Nadhani wewe unajua unachokitaka au hauna kazi kabisa kwa sasa.

Your observation is right,but kuna kutoa picha ya jumla itakayomsaidia mtu asiingie mkenge without jeopadaiz your ethics!Kwa sasa sina kazi na ndio msingi wa mimi ku-probe before juu ya pact.
 
hamna kitu...mabazazi tu haya PACT we wana HR manager ana miaka 72 very old man.....ana mawazo mgando sanaaaaa...
 
hamna kitu...mabazazi tu haya PACT we wana HR manager ana miaka 72 very old man.....ana mawazo mgando sanaaaaa...

Kama hauna experience get prepared to bargain between 1.5 - 2 M basic Salary.
 
Mdau sangarara hayo ndo maneno nliyotaka kujua...kama una experience means unaweza kuwapiga 2.5-3m? au

Yes. Lakini, Pricing kwenye soko la ajira ni very stupid game. with or without experience bado unaweza kupata kazi na ikakulipa hata 5M or above hata hapa PACT. hapa tunazungumzia normal averages tu.
 
Naomba kuuliza swali wanajamii mnaochangia humu, ni watu wenye sifa gani PACT wanaajiri kama programm officers,mie nina BBA nilijaribu kuomba nafasi za Mtwara naona kimya hadi leo, please kwa mwenye uelewa anijuze.
 
Watu wameshaitwa kwenye interview.ukiona kimya ujue huja-meet vigezo...ile kazi ya social work ndugu,BBA wapi na wapi labda kwa bahati tu!
 
Mimi walinipigia na kuniuliza niko wapi then wakasema wako kwenye maandalizi ya interview lakini naona kitambo je wameshaita kwa post ya program officer mwanza, naomba unijuze mdau Sangarara au nipe no yenu ya simu niulize kulikoni maana iliyokuwa kwenye mtandao inaita tuu.
 
Ndg sangarara me nauliza hivi hakuna uwezekano wa ku2ma application letter even if hawajatangaza nafasi?Je wanaweza ijali bdae chance zikiwepo?Na naweza wa2miaje!Help me for dat.
 
Yule mama mwenye chongo bado yupo? Duh roho mbaya sana yule mama....nasikia ni dada wa B. Nyoni....watu kadhaa walimkimbia hapo
 
Ndg sangarara me nauliza hivi hakuna uwezekano wa ku2ma application letter even if hawajatangaza nafasi?Je wanaweza ijali bdae chance zikiwepo?Na naweza wa2miaje!Help me for dat.
Exactly, na hiyo ndio the best way ya kuapply kazi kwenye dream company yako, send the letter before hand.
 
Back
Top Bottom