Unaifahamu hii?

Ilikuwa safi sana zamani.
Siku hizi imekubaki kuwa ni 'kijiwe' cha malumbano na kashfa za ki-dini na matusi.
Mbaya zaidi moderators wanaangalia tu kama 'sinema'...!!!

This is how JF has been reduced to......

Kwa ishu ya kashfa na matusi ya kidini na mambo ya kidini seriously mods inabidi Wewe makini sana maana watu wanakashfu na kutukana mpaka mtu unapata woga...na hakuna kitu sensitive kama maswala ya imani. Mimi msimamo wangu uko wazi sana katika hilo , nachukizwa mno na malumbano yasiyo na tija na yanayohinikizwa na matusi kejeli na kashfa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…