Wakuu hii Program ilishafeli toka mwezi wa sita nashangaa hii thread imefufuliwa tena na ishu ilikuwa kwenye Code za hiyo Program maana ukiitumia baada ya muda simu zilikuwa zinaharibika kabisa na information zako zote kuhusu simu zilikuwa zinatumwa kwa Hackers.
Poleni mimi ninayo lakini ni lazima hiyo Program iwe installed kwenye simu ya Mwenzi wako.. na itarekodi kila kitu sauti, message, na namba za simu pamoja muda simu ilipopigwa au kupokelewa..
if you need just PM