Unahitajika mkopo kwa dhamana ya kiwanja Dar

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,735
2,686
Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha biasharara/makazi. Alikinunua mwaka 2013 serikalini kwa 4m na kina hati.

Kwa anayewezakumsaidia naomba tuwasiliane ni muunganishe. Ni mkopo wa mwezi mmoja tuu. Kipo kigamboni.

NB: Kiwanja kipo vizuri sana, karibu na ofisi za halmashauri ya wilaya ya kigamboni, mwaka jana lipewa ofa ya 10m akakataa kuuza. Alitaka 15 kwani ndo bei ya viwanja maeneo hayo na kipo barabarani.
 
Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha biasharara/makazi. Alikinunua mwaka 2017 serikalini kwa 4m na kina hati. Kwa anayewezakumsaidia naomba tuwasiliane ni muunganishe. Ni mkopo wa mwezi mmoja tuu. Kipo kigamboni.
Anakubali riba ya 50%
 
  • Thanks
Reactions: JMF

Chanzo chake cha mapato ni kipi?
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Awasiliane na platnum, ndani ya masaa 24 atakuwa amepata baada ya kukamilisha nyaraka
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Chanzo chake cha mapato ni kipi?
Ni mfanya biashara fulani ya jumla na alikuwa akichukulia mzigo hapahapa nchini. Mtaji ulipokuwa akaamua nae aagize container mbili. Makadirio aliyopewa na C&F wake (35m) yakapishana 8m na makadirio halisi ya TRA mzigo ulipofika. Hapo aliagiza container mbili. Ameweka bond alivyoweza na kinachomuumiza kichwa ni storage charge bandarini kwa siku ni almost laki4 zlna zi aipandisha hiyo kodi
 
Anauza kiaina
Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha biasharara/makazi. Alikinunua mwaka 2013 serikalini kwa 4m na kina hati. Kwa anayewezakumsaidia naomba tuwasiliane ni muunganishe. Ni mkopo wa mwezi mmoja tuu. Kipo kigamboni.
NB: Kiwanja kipo vizuri sana, karibu na ofisi za halmashauri ya wilaya ya kigamboni, mwaka jana lipewa ofa ya 10m akakataa kuuza. Alitaka 15 kwani ndo bei ya viwanja maeneo hayo na kipo barabarani.
 
Kimfaacho mtu chake. Nimuagize mtu awape hiyo mil 4 ila si kwa mkopo, ila mmalizane. Kama yupo tayari nijuze tumalize biashara Ili bro atoe mzigo wake.
Kweli kimfaacho mtu chake. Unapoona hivyo tayari ameweka bond gari na kukomba akiba yote kufikia 39m. Bank ni mlolongo utakaopelekea storage kupanda zaidi ila kuuza kiwanja chini ya bei aliyonunulia kwaka 2013 tena serikalini hawezi kubali mkuu.
 
Kimfaacho mtu chake. Nimuagize mtu awape hiyo mil 4 ila si kwa mkopo, ila mmalizane. Kama yupo tayari nijuze tumalize biashara Ili bro atoe mzigo wake.
Welldone mkuu, humu JF **** watu wana roho za kikatili sana, pls msaidie bcs you never know hii dunia ni duara
 
Mwenye kuwezs amsaidie binaadam kusaidiana hata kwa faida kidogo sio kukomoana
 
Njoo inbox

6A4800BB-8C3A-4449-8404-2E1303C3B536.jpeg
 
Kweli kimfaacho mtu chake. Unapoona hivyo tayari ameweka bond gari na kukomba akiba yote kufikia 39m. Bank ni mlolongo utakaopelekea storage kupanda zaidi ila kuuza kiwanja chini ya bei aliyonunulia kwaka 2013 tena serikalini hawezi kubali mkuu.

Mimi nampa sita kama kiwanja kina documents zilizonyooka
 
  • Thanks
Reactions: JMF

Similar Discussions

Back
Top Bottom