Unahitajika mkopo kwa dhamana ya kiwanja Dar

Unahitajika mkopo kwa dhamana ya kiwanja Dar

Kama nafasi ya kumsaidia ipo ifanyike hivyo lkn sio nafasi ya kumkomoa, ikibidi apewe bila hata riba huku ndio kusaidiana
kwa nini usimsaidie wewe mwenye huruma. sasa mwendo ni kausha damu tu. aende kwa msoga gang ndiyo wenye mi,oba ya pesa.
 
Mimi nampa sita kama kiwanja kina documents zilizonyooka
Mimi binafsi nimemshauri sana akiachie tuu hata kwa nusu bei ya thamani yake, yaani 8m, ila back anaiwaza 10m aliyoikataa. Storage charge kapigwa jana, leo sikukuu sijajua. Ila akikwama zaidi 8m kwa shingo upande atauza, tofauti na hapo naona ni rahisi zaidi kwake kuuza gari aliyoweka bond.
 
Wahuni hawa
Mleta mada usijaribu kabsaa hata kusogea kwenye mlango wa hawa wez
Wana riba kubwa lakini wako spidi; hawa wengine wana riba ndogo, ila kuupata sasa, inabidi uwe unaulizia ulizia.
 
Kwa Geza ulole bado aliempa 10Mvalikuwa amempa pakubwa sana.

Na waliomuuzia Mwaka 2013 kwa hiyo 4M walimpiga sana
Aliuziwa na halmashauri(serikali) na kawaida bei zao huwa ni elekezi na ndiyomaana mara nyingi rushwa hutawala kupata viwanja vya serioali kutokana na unafuu wa bei. Halafu ni Gezaulole ipo unayozungumzia mkuu? Ebu taja kabisa bei ya square meter kwasababu ninapoandika hapa sasahivi tayari kuna evaluator anaenda kuthaminisha na mwenyewe anadai siyo chini ya 13m kwa maeneo ya block 16 kwasababu ndo kazi zao
 
Nina kiwanja changu kina hati kamili toka wizara ya ardhi ninakiuza.Kiwanja kina ukubwa wa sqm 609 kipo Mlandizi Vikuruti.Ninakiuza mil 3,nilikinunua mil 3.6 mwaka 2016,nauza kwa sababu nina shida.Mradi wa treni ya mwendokasi utakapoanza viwanja vitakuwa havishikiki.Mwenye kuhitaji anicheki 0713767225
 
Weka picha basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom