RMK Freelancers Agency
JF-Expert Member
- Jan 15, 2025
- 298
- 292
Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest.
Kwa wanaotaka kuanza, kuna gharama nafuu kwa ajili ya trial ya kuanza ili uone kama mfumo huu unafanya kazi kwa biashara yako. Hii ni fursa kwa biashara ndogo na za kati ambazo zinahitaji kuongeza mauzo na kupanua mtandao wa wateja.
Gharama zitatofautiana kulingana na industry au aina ya biashara uliyopo, kwa sababu kila soko lina njia tofauti ya kupata wateja sahihi. Lengo ni kukusaidia kupata leads zenye uwezekano mkubwa wa kuwa wateja wa kweli.
Kumbuka: Biashara yoyote inahitaji mauzo ili ikue. Kama una bidhaa au huduma nzuri lakini unapata shida kupata wateja wapya, hapa ndipo ninaweza kusaidia.
Wasiliana nami kwa PM au WhatsApp: +255737450640